Wewe Ndiwe Kuhani
| Wewe Ndiwe Kuhani | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Category | Zaburi |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 5,588 |
Wewe Ndiwe Kuhani Lyrics
Wewe ndiwe kuhani milele hata milele * 2
Umetakaswa kuhani, uko na kundi kuhani
Chunga, chunga Kondoo *2 Chunga kondooo- Msalaba unaubeba kuhani mkuu, chunga kondoo
- Sisi sote kama kondoo tuombe, atupe bara-ka
- Taifa lake Mungu Baba lataka neno, chunga kondoo