Habari Ndiyo Hiyo
| Habari Ndiyo Hiyo | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ushuhuda Tosha |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 4,414 |
Habari Ndiyo Hiyo Lyrics
{ Habari nd`o hiyo, habari habari habari,
Habari, habari, sikilize-ni habari } *2
{ Tumeokolewa, tuna haki ya kuhubiri
Mingi mijadala, ya nini itutie hofu
Inachemsha chemsha, inachanganya changanya
(Habari nd`o hiyo) habari tunayoamini ni Yesu } *2- [ s ] Alikufa na akazikwa na sisi tunaamini,
Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu - Tumeupata ukombozi, na sisi tunaamini,
Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu - Bibilia inatambua na sisi tunaamini
Ya kwamba Yesu ni mwalimu tena kuhani mkuu