Hiki Ndicho Kizazi
Hiki Ndicho Kizazi | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ushuhuda Tosha |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,627 |
Hiki Ndicho Kizazi Lyrics
Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao ee Mungu wetu *2
{ Cha wakutafutao uso wako ee Mungu wa Yakobo
Hiki ndicho, hiki ndicho kizazi cha wakutafutao Mungu } *2- Ee Bwana ulinijua tangu tumbo-ni
Wewe unayajua maneno ya-ngu - Mchana na usiku umekuwa kinga
Ee Mungu Mungu wangu nitakusifu - Nitakusifu mimi siku zote ee Mungu
Unibariki Bwana daima milele