Kwa Sauti Yangu

Kwa Sauti Yangu
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
Views4,020

Kwa Sauti Yangu Lyrics

  1. Kwa sauti yangu nitamlilia Bwana
    Kwa sauti yangu nitamuomba Bwana dua
    { Nitafunua mbele zake, mbele zake
    Mbele zake malalamiko yangu
    Shida zangu nitazitangaza mbele zake }* 2

  2. Masikio yako na yasikilize sauti yangu
    Ya-sikilize yasikilize sauti ya dua zangu
  3. Maana kwa Bwana kuna fadhili na ukombozi
    Na kwake Bwana kuna ukombozi mwingi