Mkumbuke Mungu
| Mkumbuke Mungu | |
|---|---|
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) | 
| Album | Ushuhuda Tosha | 
| Category | Tafakari | 
| Composer | J. C. Shomaly | 
| Views | 7,097 | 
Mkumbuke Mungu Lyrics
- { Mkumbuke Mungu wakati wa ujana wako
 Siku zisije pita, mpaka wakati wa uzee wako } *2
- Kama wewe ni msichana
 Mara hiyo hiyo mkumbuke Mungu
 Na usingoje uchakae
 Mara hiyo hiyo mkumbuke Mungu
 Kama wewe bado kijana
 Mara hiyo hiyo mkumbuke Mungu
 Na usingoje uzeeke
 Mara hiyo hiyo mkumbuke Mungu
- Kama wewe ni kiongozi . . .
 Na usingoje ustaafu . . .
 Kama wewe ni daktari . . .
 Na usingoje utibiwe . . .
- Biashara ikikubali . . .
 Na usingoje ikatae . . .
 Na masomo yakikubali . . .
 Na usingoje uwe zuzu . . .
- Ukiwa na nguvu kijana . . .
 Na usingoje ulemae . . .
 Ukiwa na gari kijana . . .
 Na usingoje uishiwe . . .
 
  
         
                            