Mwimbieni Bwana
| Mwimbieni Bwana | |
|---|---|
| Alt Title | Heshima na Adhama |
| Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
| Album | Ushuhuda Tosha |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | J. C. Shomaly |
| Views | 8,011 |
Mwimbieni Bwana Lyrics
{ Mwimbieni Bwana wimbo mpya *2
Mwimbieni Bwana nchi yote } *2
{ Heshima na adhama, ziko mbele zake (zake Bwana)
Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake,
patakatifu pake } *2- Wahubiriini mataifa habari za utukufu wake
Na watu wote, habari za maajabu yake - Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana,
Wa kuhofiwa kuliko miungu yote.