Mwimbieni Bwana Lyrics

MWIMBIENI BWANA

@ J. C. Shomaly

{ Mwimbieni Bwana wimbo mpya *2
Mwimbieni Bwana nchi yote } *2
{ Heshima na adhama, ziko mbele zake (zake Bwana)
Nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake,
patakatifu pake } *2

  1. Wahubiriini mataifa habari za utukufu wake
    Na watu wote, habari za maajabu yake
  2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana,
    Wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Mwimbieni Bwana
ALT TITLEHeshima na Adhama
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMUshuhuda Tosha
CATEGORYEntrance / Mwanzo
REFPs. 96
  • Comments