Siku Ile Niliyokuita

Siku Ile Niliyokuita
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
CategoryZaburi
ComposerJ. D. Mkomagu
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 138

Siku Ile Niliyokuita Lyrics


{ Siku ile niliyokuita, uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu
Nitashukuru kwa moyo wangu (moyo) wote
Mbele ya miu-ngu nitakui-mbia zaburi
(Nami ) nitakusujudu nikilikabili
Hekalu lako takatifu, hekalu lako takatifu } *21. Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako
Na uaminifu wako, kwa maana umeikuza
Ahadi yako kuliko jina lako lote

2. Ingawa Bwana yuko juu, amuona mnyenyekevu
Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali
Nijapokwenda katika shida utanihuisha
Utanyoosha mkono juu ya hasira za adui

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442