Sikuja Kutangua Torati
Sikuja Kutangua Torati | |
---|---|
Performed by | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Ushuhuda Tosha |
Category | Mafundisho ya Yesu |
Composer | J. C. Shomaly |
Views | 3,529 |
Sikuja Kutangua Torati Lyrics
{ Sikuja kuitangua torati au manabii *2
La! Siku-ja, sikuja kutangua
Bali kuitimiliza bali kuitimiliza } *2- [ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, seria itimizwe,
Hata yodi moja na nukta moja, ya torati haitapita - [ t/b ] Na sisi inatubidi kuzitii sheria za Mungu siku zote,
Kuiba kudhulumu ni kuvunja sheria, alizoweka Mungu - [ s ] Yesu aliyasema hayo akimaanisha, sheria tutimize,
Uvivu na uchawi ni kuvunja sheria, alizoziweka Mungu