Login | Register

Sauti za Kuimba

Nikitazama Chini ya Jua Lyrics

NIKITAZAMA CHINI YA JUA

@ J. C. Shomaly

{ Nikitazama chini ya jua hili ulofanya Mungu,
Utukufu ni wako na sifa unastahili Mungu } * 2
{ Asubuhi na jioni, mchana hata usiku
Watu kazi mbalimbali, riziki ni tofauti
Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu} * 2

  1. Majira na nyakati, kiangazi mvua hata na masika
    Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu
  2. Binadamu twaishi yote haya mpango wako ee Mungu
    Vyote umevifanya utukufu sifa ni zako Mungu
Nikitazama Chini ya Jua
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMUshuhuda Tosha
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments