Tuserebuke
Tuserebuke | |
---|---|
Alt Title | Njooni Tuwashangilie Wenzetu |
Performed by | Moyo Safi (Unga Ltd) |
Album | Tuserebuke |
Category | Tafakari |
Views | 4,899 |
Tuserebuke Lyrics
- Njooni waumini, njooni watu wote
Tuwashangilie hawa wenzetu *2(Tuserebuke iyo)
Tuserebuke wote tuserebuke *4
Tuwashangilie wenzetu - Njooni kina Baba njooni kina mama
Tuwashangilie hawa watumishi *2 - Njooni ee vijana wazee watoto
Tuwashangilie Yesu awapenda *2 - Kutoka kusini na kaskazini
Tuwashangilie na twimbe leo *2 - Toka magharibi hata mashariki
Tuwashangilie wanameremeta *2