Walinizunguka Kama Nyuki

Walinizunguka Kama Nyuki
Performed bySt. Veronica Kariakor Dar-es-salaam
AlbumKama Nyuki
CategoryZaburi
ComposerP. F. Mwarabu
Views4,779

Walinizunguka Kama Nyuki Lyrics

  1. Walinizunguka kama nyuki, (lakini)
    Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani
    Walinizunguka kama nyuki, (adui)
    Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani

  2. Mataifa yote yalinizunguka mimi, kweli , walinizungunka mimi
    Kwa jina la bwana niliwapatilia mbali
    Wote walionisumbua
  3. Kwani Bwana yuko upande wangu mimi anisaidia, sitaogopa
    Nanitawaona wanaonichukia hakika nitawaona wameshindwa
  4. Heri yetu sote kumkimbila Bwana Mungu kuliko wanadamu
    Heri yetu sote kumkimbila Bwana kuliko kutumanina wakuu