Walinizunguka Kama Nyuki

Walinizunguka Kama Nyuki
ChoirSt. Veronica Kariakor Dar-es-salaam
AlbumKama Nyuki
CategoryZaburi
ComposerP. F. Mwarabu

Walinizunguka Kama Nyuki Lyrics

Walinizunguka kama nyuki, (lakini)
Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani
Walinizunguka kama nyuki, (adui)
Lakini walizimika kama moto, kama moto wa miibani

 1. Mataifa yote yalinizunguka mimi, kweli , walinizungunka mimi
  Kwa jina la bwana niliwapatilia mbali
  Wote walionisumbua
 2. Kwani Bwana yuko upande wangu mimi anisaidia, sitaogopa
  Nanitawaona wanaonichukia hakika nitawaona wameshindwa
 3. Heri yetu sote kumkimbila Bwana Mungu kuliko wanadamu
  Heri yetu sote kumkimbila Bwana kuliko kutumanina wakuu