Mtakatifu (Misa Upendo)

Mtakatifu (Misa Upendo)
Performed by-
AlbumMISA UPENDO
CategoryTBA
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,601

Mtakatifu (Misa Upendo) Lyrics

MISA UPENDO - MTAKATIFU

  • Mtakatifu mtakatifu Bwana
    Mungu wa majeshi Mungu wa majeshi
    Mbingu na dunia zimejaa, utukufu wa-ako
  • Hosanna (hosanna) hosanna (hosanna)
    Juu mbinguni
  • Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana