Nasadiki (Misa Amecea)
Nasadiki (Misa Amecea) |
---|
Performed by | - |
Album | Misa Amecea |
Category | TBA |
Views | 5,573 |
Nasadiki (Misa Amecea) Lyrics
MISA AMECEA - NASADIKI
- [t] Nasadiki kwa Mungu mmoja – mimi nasadiki
[s] Ndiye Baba yetu mwenyezi –
[t] Mwumba mbingu pia dunia
[s] Nasadiki kwa Yesu Kristu
- Mwana wa pekee wa Mungu –
Aliyezaliwa kwa Baba –
Akapata mwili kwa roho –
Kazaliwa aye bikira –
- Kisha yeye kasulubiwa –
Kwa mamlaka yake pilato –
Kwa ajili yetu kateswa –
Alikufa na akazikwa –
- Kafufuka katika wafu –
Akapaa juu mbinguni –
Ameketi kuume kwake –
Mungu Baba yetu mwenyezi –
- Ndipo atakapotokea –
Ili awahukumu wote –
Kwake Roho Mtakatifu –
Kwa kanisa la katoliki –
- Ushirika wa watakatifu –
Ondoleo la dhambi zetu –
Nangojea ufufuko wa miili –
Na uzima wa mi-lele –