Mtakatifu (Misa Amecea)
Mtakatifu (Misa Amecea) |
---|
Performed by | - |
Album | Misa Amecea |
Category | TBA |
Views | 10,429 |
Mtakatifu (Misa Amecea) Lyrics
MISA AMECEA - MTAKATIFU
- [t] Mtakatifu mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi
[s] Mtakatifu mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi
[a/b] Mungu wa majeshi, Mungu wa majeshi
- [s/a] Mbingu na dunia zimejaa zimejaa,
[w] Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako
[s/a] Mbingu na dunia [w] zimejaa utukufu wako
- [s/a] Hosanna juu *4 mbinguni
[t/b] Hosanna juu hosanna hosanna juu
Hosanna juu juu Mbinguni
- Mbarikiwa ‘nayekuja
Mbarikiwa ‘nayekuja mbarikiwa
[w] Mbarikiwa ‘nayekuja kwa jina jina lake Bwana