Mwanakondoo (Misa ya Mt. Cecilia)
Mwanakondoo (Misa ya Mt. Cecilia) |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Composer | Fr. G. F. Kayeta |
Views | 9,405 |
Mwanakondoo (Misa ya Mt. Cecilia) Lyrics
MISA BY FR. KAYETA - MWANAKONDOO
- Mwana Kondoo, Mwana kondoo wa Mungu(Mwana)
Unayeondoa dhambi za dunia
Mwana Kondoo, Utuhurumie
- Tuhurumie Mwana,
Mwana kondoo tuhurumie.
- Mwana Kondoo, Mwana kondoo wa Mungu(Mwana)
Unayeondoa dhambi za dunia
Mwana Kondoo, Utuhurumie
- Tuhurumie Mwana,
Mwana kondoo tuhurumie
- (Alto)
Mwana kondoo wa Mungu
Mwana kondoo wa Mungu
Unayeondoa dhambi, dhambi za dunia
- (Tenor/Bass)
Mwana kondoo wa Mungu,
Unayeondoa dhambi za dunia,
Utujalie Amani,
- T/B: Utujalie
S/A: Amani, Amani
T/B: Utujalie
S/A: Amani, Amani X2
ALL: Utujalie Amani, Amani.