Mungu Hatamtupa Mtu Mkamilifu
| Mungu Hatamtupa Mtu Mkamilifu |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Composer | E. F. Jissu |
| Views | 2,255 |
Mungu Hatamtupa Mtu Mkamilifu Lyrics
MUNGU HATAMTUPA MKAMILIFU
Tazama Mungu hatamtupa mtu mkamilifu
Tazama tazama tazama tazama *2
Tazama Mungu-tazama, tazama hatamtupa mkamilifu
Tazama tazama-tazama, atamtoa tazama
- Tazama Mungu tazama, wala hatawathibitisha
Wale wote watendao, watendao uovu
- Bwana atakijaza kinywa chako kicheko
Na midomo yako ataijazaza shangwe
- Wewe ukimtafuta Mungu kwa bidii
Na kumsihi mwenyezi tazama, tazama