Milele Yesu Nitakusifu
| Milele Yesu Nitakusifu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 4,945 |
Milele Yesu Nitakusifu Lyrics
{ Milele ee (Yesu) nitakusifu milele *2
Kwa nyimbo za shangwe nitakusifu milele *2 aleluya } *2- Mwokozi katenda mambo ya ajabu,
Kaniweka huru amenifungua
Ni shangwe kubwa kukombolewa *2 - Wakati wa shida kanisaidia,
Ameniondoa ndani ya mitego
Ni shangwe kubwa kukombolewa *2 - Kanihakikisha uzima Mbinguni,
Kaniondolea hukumu ya dhambi
Ni shangwe kubwa kukombolewa *2