Nyumbani mwa Bwana
| Nyumbani mwa Bwana | |
|---|---|
| Performed by | St. Don Bosco Kyaani |
| Category | Entrance / Mwanzo |
| Composer | Emmanuel Kawa |
| Views | 21,095 |
Nyumbani mwa Bwana Lyrics
{ Nyumbani - mwa Bwana mna mema
Twendeni - kwa shangwe tumwabudu } * 2
{ Tuchezecheze turukeruke,
Tuimbeimbe, tumsifu Mungu } *2- Tuingie kwa shangwe kubwa, tumwimbie Muumba wetu
Kwa vinanda tumsifu Mungu - Nyumba yake ni takatifu, ma-kao matakatifu
Tuingie tumsifu Mungu - Yeye Bwana ni kinga yetu, yeye Bwana ni nguvu yetu
Pendo lake ni la milele