Uje Roho Mtakatifu, Uje Mfariji

Uje Roho Mtakatifu, Uje Mfariji
ChoirSauti Tamu Melodies
CategoryRoho Mtakatifu (Pentecoste)
Composer(traditional)
VideoWatch on YouTube
Musical Notes
Time Signature3
8
Music KeyG Major

Uje Roho Mtakatifu, Uje Mfariji Lyrics

Uje Roho Mtakatifu, uje mfariji

 1. Uje baba wa masikini - uje mfariji
  Roho mtoa vipaji - uje mfariji
 2. U rafiki mwema sana -
  U mfutaji wa machozi -
 3. Uwe mwanga wa mioyo -
  Tuangaze toka mbinguni -
 4. Tia nuru akilini -
  Na mapendo mioyoni -
 5. Osha machafuko yetu -
  Na kuponya majeraha -
 6. Uregeze ukaidi -
  Pasha moto u baridi -
 7. Bila nguvu yako wewe -
  Mwanadamu hana kitu -
 8. Kwenye kazi u pumziko -
  Kwenye joto burudisho -
 9. Ufukuze mashetani -
  Na amani tupe hima -
 10. Wape waamini wako -
  Paji zako zote saba -