Yote Yaliyokupata
Yote Yaliyokupata |
---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Composer | Merriack Kavakule |
Views | 2,066 |
Yote Yaliyokupata Lyrics
YOTE YALIYOKUPATA
{ Yote yaliyokupata ni mapenzi ya Mungu
Usilalamike wala usivunjike moyo } * 2
- Ayubu aliteseka alivumilia
Hakulalamika wala hakuvunjika moyo
- Shida iliyokupata yote itakwisha
Usilalamike wala usivunjike moyo
- Magonjwa uliyo nayo yote yatakwisha
Usilalamike wala usivunjike moyo
- Umepatwa na msiba ni mapenzi ya Mungu
Usilalamike wala usivunjike moyo
- Kazini umefukuzwa zidisha maombi
Usilalamike wala usivunjike moyo
- Ushukuruni kila jambo linalokupata
Baba yetu wa Mbinguni akungoja pema