Kwa Yesu ni Tambalale
Kwa Yesu ni Tambalale | |
---|---|
Performed by | St. Ignatius Veyula |
Album | Kwa Yesu Tambalale |
Category | Tafakari |
Views | 3,627 |
Kwa Yesu ni Tambalale Lyrics
Kwa Yesu ni tambalale, tambalale tambalale
Kwa Mungu hakuna milima, tambalale tambalale
(Tambalale)
{ Tambalale tambalale tambalale
(tambalale) tambalale Tambalale hakuna milima,
( kweli tambalale ) } *2- Hakuna magonjwa, dhiki wala njaa
Hakuna tatizo, Mbinguni ni raha - Hakuna dhuluma, wala ufisadi
Hakuna tajiri, wote kwake sawa - Hakuna ulevi, hakuna uzinzi,
Hakuna huzuni, wote ni furaha - Mbinguni kwa Baba, makao ni mengi
Tujipange sawa tukaishi naye