Laumu Imeuvunja Moyo
| Laumu Imeuvunja Moyo |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 7,032 |
Laumu Imeuvunja Moyo Lyrics
LAUMU IMEUVUNJA MOYO
Laumu imeuvunja moyo wangu (Imeuvunja)
Imeuvunja (moyo wangu) moyo wangu *2
- Nikalegea nikatazamia wa kunisikitikia
Nisimwone, Na wa kunituliza asipatikane
- Wakanipa nyongo, hicho ndicho wakasema
chakula changu, uovu gani,
Nilipoona kiu wakanipa siki
- Yamenizua mikono yangu na miguu yangu
Naweza kuhesabu mifupa yangu
ote ya mwilini mwangu
- Ee Mungu wangu usikawie
Ufanye haraka uje kuniokoa,
Watesi wafurahi kushindwa kwangu