Kristu Mshinda
Kristu Mshinda | |
---|---|
Alt Title | Christus Vincit |
Performed by | Shirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka) |
Category | Kristu Mfalme (Christ the King) |
Composer | (traditional) |
Views | 6,114 |
Kristu Mshinda Lyrics
Kristu Mshinda, Kristu mfalme,
Kristu Krsitu mtawala- Msifuni Bwana, enyi mataifa yote,
Msifuni, enyi watu wote - Maana fadhili zake kwetu ni kubwa sana
Na uaminifu wake wadumu milele - Atukuzwe Baba na Mwana,
Na Roho Mtakatifu - Kama mwanzo na sasa na siku zote,
Na milele, amina.