Injili Yake Yesu
Injili Yake Yesu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 22,159 |
Injili Yake Yesu Lyrics
- 1. Injili yake Yesu, ni neno lake Mungu,
Injili iende mbele aah aah aa{ Injili iende mbele aah aah aa
Injili iende mbele ni neno la wokovu aah aah aa } *2 - Ni neno lenye mwanga, ni neno lenye nguvu
Ni neno la amani aah aah aa - Injili yaokoa, injili yaponyesha
Injili yadumisha aah aah aa - Mkristu jiandae kusikiliza neno
Neno lenye uzima aah aah aa