Enyi Walinzi
Enyi Walinzi | |
---|---|
Alt Title | Yesu Hayumo Katika Kaburi |
Performed by | St. Gabriel Biticha Kisii |
Category | Pasaka (Easter) |
Views | 2,326 |
Enyi Walinzi Lyrics
ENYI WALINZI
- {Enyi walinzi mwaenda wapi,
Yesu hayumo katika kaburi (hakika)
Na Galilaya katangulia ni mzi-ma aleluya }* 2
/s/ Tuimbe leo Bwana amefufuka *2
/a/ Tuimbe leo hakika Bwana amefufuka
/t/ Aaah aah aah kuu aleluya
/b/ Aaah aah aleluya furaha kuu aleluya - Nanyi walinzi uoga mwingi . . .
- Na manukato mnayobeba . . .