Amri Mpya Nawapa
Amri Mpya Nawapa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Love |
Composer | Renatus Rwelamira |
Views | 6,493 |
Amri Mpya Nawapa Lyrics
Amri mpya—nawapa ninyi mpendane *2
Kama vile { nilivyowapenda ninyi hivyo
nanyi mpendane hivyo } *2- Hakuna upendo kuliko ule,
Kutoa uhai kwa ajili ya wengine
Huo ndio upendo ulio wa kweli - Pendaneni kama nilivyowapenda
Wapendeni majirani na adui zenu
Watawatambua kuwa m wafuasi wangu - Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu
Mkishiriki karamu niliyowaachia
Ekaristi kuu ishara ya umoja