Bwana Mungu Upokee
Bwana Mungu Upokee | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Composer | E. Magillu |
Views | 2,619 |
Bwana Mungu Upokee Lyrics
BWANA MUNGU UPOKEE
- {Bwana Mungu upokee vipaji vyetu
Kazi ya mikono yetu wanadamu }* 2 - Mkate twakutolea baba,
Divai tunaleta upokee - Pokea sadaka ya Mwanao,
Uliyopenda kutulizwa nayo - Ni sadaka ya Mwanao mpenzi,
sadaka ya Mwanao Yesu Kristu - Pia na mazao yetu Baba,
Kazi ya mikono yetu pokea