Bwana Alipokwisha Kula

Bwana Alipokwisha Kula
Performed bySt. Patrick Morogoro
CategoryAlhamisi Kuu
Views3,687

Bwana Alipokwisha Kula Lyrics

  1. { Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,
    aliwaosha miguu yao, miguu yao } *2

    { Bwana alipokwisha kuwaosha miguu yao
    Akaketi tena akawaambia (akisema)
    Je mmeelewa haya niliyowatendea
    Ninyi mwaniita mwalimu na bwana
    Nanyi mwanena vyema (mmenena mmesema vyema)
    Basi ikiwa mimi niliye bwana na mwalimu
    Nimewaosha miguu yenu } *2

  2. Imewapasa hivyo kuoshana miguu ninyi kwa ninyi
    Kwa kuwa nimewapa mfano kamili mmeuona
    Kama mimi nilipowatendea nanyi mtende hivyo