Waipeleka Roho
| Waipeleka Roho | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 4,943 |
Waipeleka Roho Lyrics
Waipeleka Roho, waipeleka Roho yako Ee Bwana,
Roho yako ee Bwana (Ee Bwana)
Nawe waufanya upya, uso wa dunia aleluya x 2- Njoo Roho Mtakatifu, uijaze nyoyo ya waamini, na uwashe ndani yao upendo wako.
- Ee Nafsi yangu, umhimidi Bwana, wewe Mungu wangu, na imejifanya kuwa mkuu sana.
- Ee Bwana Mungu wangu, jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako.