Onjeni Muone

Onjeni Muone
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views3,822

Onjeni Muone Lyrics

  1. Onjeni muone ya kuwa Bwana ni mwema,
    heri mtu yule anayemtumaini, here mtu yule anayemtumaini x 2

  2. Nitamhimidi Bwana kila wakati,
    sifa zake zi kinywani mwangu daima.
  3. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
    wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
  4. Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
    na tuliadhimishe jina lake pamoja.
  5. Nalimtafuta Bwana akanijibu,
    akaniponya na hofu zangu zote.