Kimbunga

Kimbunga
Performed by-
AlbumKimbunga
CategoryTBA
ComposerVictor Aloyce Murishiwa
Views5,139

Kimbunga Lyrics

KIMBUNGA


  • Kimbunga cha roho kinavuma, ni manabii wenye uwongo
    Usiku mchana kinavuma, Imani za watu kinasonga
    Kimbunga, kimbunga

    Ni kile kilicho tabiriwa, kimbunga, kimbunga
    Na Bwana Yesu kwenye andiko, kimbunga, kimbunga
  • Na sasa ndiyo yanatimia, kimbunga, kimbunga
    Manabii wenye uwongo, kimbunga, kimbunga
  • Sasa ni wakati wa kukesha, kimbunga, kimbunga
    Tuzitetee imani zetu, kimbunga, kimbunga