Kabila Langu
| Kabila Langu | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Composer | H. Matete | 
| Views | 7,014 | 
Kabila Langu Lyrics
- (Kabila langu, kabila langu nimekutendea nini,
 nimekutendea nini au nimekusikitisha kitu gani) x 2
 (Ilipasa nikutende nini zaidi, nini zaidi,
 nini zaidi nisikutendee, nilikupenda kama shamba zuri sana) x 2
- Nilikupenda kama shamba langu zuri sana, nawe umekua mchungu kabisa kwangu.
- Nilipo kuwa na kiu ukaninywesha siki, ukanichoma ubavu wangu kwa mkuki.
 
  
         
                            