Kabila Langu

Kabila Langu
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerH. Matete

Kabila Langu Lyrics

(Kabila langu, kabila langu nimekutendea nini,
nimekutendea nini au nimekusikitisha kitu gani) x 2
(Ilipasa nikutende nini zaidi, nini zaidi,
nini zaidi nisikutendee, nilikupenda kama shamba zuri sana) x 2

  1. Nilikupenda kama shamba langu zuri sana, nawe umekua mchungu kabisa kwangu.
  2. Nilipo kuwa na kiu ukaninywesha siki, ukanichoma ubavu wangu kwa mkuki.