Toba Rabbi Nionee Huruma
| Toba Rabbi Nionee Huruma | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Composer | F. B. Mallya | 
| Views | 4,353 | 
Toba Rabbi Nionee Huruma Lyrics
- Toba Rabbi tuonee huruma, sigeuke siwe uso mkali
 Tuletee ya wokovu neema, tutakate tuone ya piliMungu mwokozi Mungu mwema, angalia machozi tuponye salama
- Toba rabbi twaogopa hakiyo,tukakosa twaungama
 Twelekee tuonye hurumayo,leo bado utuwie mwema!
- Toba Rabbi, kwe tuliotenda madharau maovu mengi mno
 Tumetubu twaomba msaada, tusivunje yetu maagano.
- Toba Rabbi, dhambi zikatoboa, moyo wakosadaka ya watu
 Leo kwako, sisi twakimbilia, tutulizwe, uwe raha yetu.
 
  
         
                            