Akawanyeshea Mana

Akawanyeshea Mana
Performed by-
AlbumNyumba ya Roho
CategoryTBA
ComposerD. E. Ng'atiwa
Views7,745

Akawanyeshea Mana Lyrics

AKAWANYESHEA MANA


 1. Akawanyeshea mana ili wale *3
  Akawapa nafaka ya mbinguni *2
 2. Mambo tuliyo yasikia na kuyafahamu ambayo baba zetu walituambia,
  hayo hatuwaficha wana wao, huku tukiwaambia kizazi kingine, sifa za Bwana na nguvu zake.
 3. Lakini aliamuru mawingu juu akaifungua aha aha
  milango oho ya mbinguni akawapa nafaka ya Mbinguni.
 4. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa aliwapelekea
  chakula cha kuwashibisha chakula cha kuwashinisha.