Siku Sita

Siku Sita
Performed bySt. Cecilia Mariakani
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
ComposerRenatus Rwelamira
Views11,430

Siku Sita Lyrics

SIKU SITA


  1. { Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana } *2
    Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakisema
    { Hosanna hosanna, hosanna Mwana wa Daudi
    Hosanna Hosanna Mwana wa Daudi } *2
  2. Wakimwimbia mfalme mkuu nyimbo za furaha na shangwe
    Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana.
  3. Wakitandaza nguo zao kumpa heshima Mwana wa Daudi
    Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana