Chereko Chereko na Vifijo
Chereko Chereko na Vifijo | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Bwana Kafufuka |
Category | Pasaka (Easter) |
Composer | G. C. Mkude |
Views | 13,353 |
Chereko Chereko na Vifijo Lyrics
{ Chereko chereko na vifijo, waumini wote pigeni makofi
Yesu aliyekufa msalabani leo hii amefufuka } * 2
{Tufurahi na tushangilie, Yesu Kristu leo kafufuka
Aleluya tuimbe aleluya } * 2- Kwa maringo tunaimbaimba, kwa maringo tunachezacheza
Twafurahi Bwana Yesu Kristu amefufuka - Hoye hoye na nderemo nyingi na vinanda pia tuvipge
Twafurahi ukombozi wetu umetimia - Yeye ndiye mshinda mauti, yeye ndiye shujaa wa vita
Yeye ndiye mshinda shetani amefufuka