Aleluya Aleluya Aleluya

Aleluya Aleluya Aleluya
Performed byKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumNikupe Nini Mungu Wangu
CategoryZaburi
ComposerFr. Mkoba
Views5,883

Aleluya Aleluya Aleluya Lyrics

 1. Aleluya aleluya, aleluya *2
  { Aleluya aleluya, aleluya aleluya
  Aleluya aleluya, aleluya } *2

 2. Mungu nirehemu mimi, nirehemu
  Sawasawa na fadhili zako Bwana
 3. Kwa rehema zako Bwana uyafute
  Makosa yangu ee Bwana nitakate
 4. Nioshe kabisa Bwana na uovu
  Nitakase dhambi zangu na uovu
 5. Nakiri makosa yangu, Bwana wangu
  Nimekukosea wewe Bwana wangu
 6. Niumbie moyo safi, moyo safi
  Usinitupe ee Bwana mbali nawe