Inueni Vichwa Vyenu

Inueni Vichwa Vyenu
Alt TitleLift Up Your Heads
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumBwana Kafufuka
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
ComposerG. F. Handel
Views5,361

Inueni Vichwa Vyenu Lyrics

  • Inueni vichwa vyenu, enyi malango, inukeni
    Enyi malango ya milele, mfalme wa utukufu apate kuingia
    Ni nani mfalme wa utukufu * 4
    Bwana mwenye nguvu hodari * 2 Bwana hodari wa vita
  • Inueni vichwa vyenu, enyi malango
    naam inueni vichwa vyenu, enyi malango ya milele,
    mfalme wa utukufu apate kuingia
    mfalme wa utukufu apate kuingia
  • Ni nani mfalme wa utukufu * 4
    Bwana wa majeshi * 2
  • Yeye ndiye mflame wa utukufu * 6
    Bwana wa majeshi (Bwana wa majeshi), Yeye ndiye mfame wa utukuuuuufu * 3
  • Yeye ndiye mfame wa utukufu * 2
    Bwana wa majeshi * 8
    Yeye ndiye mfame wa utukuuuuufu, utukuufu
    Yeye ndiye mfame wa utukufu * 2
    Bwana wa majeshi * 6
    Yeye ndiye mfalme wa utukuuuuufu, mfalme wa tukufu
    Yeye ndiye mfalme wa utukufu
    Wa utukufu
Recorded by Several Choirs