Amri Mpya Nawapa

Amri Mpya Nawapa
Choir-
CategoryLove
ComposerJohn Mgandu

Amri Mpya Nawapa Lyrics

 1. {Amri mpya nawapa,
  amri mpya nawapa mpendane,
  mpendane kama vile nilivyowapenda ninyi } *2

 2. Bwana Yesu alipokwisha kuwaosha miguu wanafunzi wake,
  Akawaambia akasema, akawaambia akasema
 3. Hivyo watu watatambua ya kwamba nyinyi mmekuwa wanafunzi wangu
  Mkiwa na upendo, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi