Amri Mpya Nawapa

Amri Mpya Nawapa
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumKwa Wingi wa Fadhili
CategoryLove
ComposerStanslaus Mujwahuki
Views4,405

Amri Mpya Nawapa Lyrics

 1. { Amri mpya nawapa mpendane,
  Kama vile nilivyowapenda ninyi
  Kama vile nilivyowapenda ninyi, asema Bwana } *2

 2. Mimi niendako ninyi hamuwezi kuja
  Mimi niendako ninyi hamuwezi kuja
  Kadhalika sasa ninawaambia ninyi asema Bwana
 3. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa
  Ninyi mmekuwa wanafunzi wangu
  Mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi asema Bwana