Chereko Chereko Yesu Kashinda
   
    
     
         
          
            Chereko Chereko Yesu Kashinda Lyrics
 
             
            
- Chereko chereko,
 chereko, chereko, chereko (Chereko)
 chereko chereko
 Chereko Bwana amefufuka * 2
 
 Kashinda Yesu
 Kashinda tuimbe wote kashinda
 
 {Kashinda Yesu
 kashinda tuseme wote kashinda
 Ameshinda kifo
 kashinda tuseme wote kashinda } * 2
 
 Ameshinda mauti watu wote tumshangilie
- Ni siku ya tatu Bwana Yesu kafufuka
 Ulimwengu wote leo wunashangilia
 Tumshangilie, tumshangilie
 Ametukomboa Yesu, tumshangilie
- Wale walomdhihaki wanamshangaa
 Wamebaki vinywa wazi, wanamshangaaa
 Tumshangilie, tumshangilie
 Ametukomboa Yesu, tumshangilie
- Alipofufuka Yesu aliwatokea
 Mitume wake wote akawaambia
 Nimefufuka, nimefufuka
 Na bado ni ngali hai, msiogope