Astahili Mwanakondoo

Astahili Mwanakondoo
Choir-
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerAjabu J. Ndahitobhotse

Astahili Mwanakondoo Lyrics

Astahili Mwanakondoo,
sifa enzi utajiri ufalme heshima utawala
Utukufu na ukuu una yeye
siku zote daima na ashangiliwe
Milele na milele, milele na milele * 2 milele
Tumwimbie, aleluya a-leluya
aleluya a-leluya a-shangiliwe

 1. Pilato akamwambia aee,
  wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi
  Akajibu akamwambia,
  mwema, wewe wasema
 2. Na Yesu akamjibu aee,
  hayo umepewa na baba yangu
  Baba yangu aliye Mbinguni
  ndiye kakupa hayo

  // h i t i m i s h o //

  Yesu Kristu ni mfalme milele
  Mpeni nafasi, ayatawale maisha, oooh ooh ooho
  Kristu, Kristu ni Mfalme milele
  Kristu ni- mfa-lme mile-le } * 2

  Aleluya ashangiliwe hoiyee, haya haya
  Yesu Kristu ni mfalme hoiyee, haya haya
  Duniani na Mbinguni hoiyee, haya haya
  hoiyee Yesu we kaya kaya * 2
  hoiyee (hoiyee) hoiyee (hoiyee haya haya)

  Mpeni sifa Yesu Kristu Milele yote
  Na ashangiliwe huko juu Mbinguni aee eeh aeeh
  Milele na milele, milele na milele * 2 milele
  Tumwimbie, aleluya a-leluya aleluya a-leluya a-shangiliwe