Silegei Nasonga Mbele
| Silegei Nasonga Mbele |
|---|
| Alt Title | Nasonga Mbele |
| Performed by | - |
| Album | Silegei |
| Category | TBA |
| Composer | M. Mtinga |
| Views | 4,657 |
Silegei Nasonga Mbele Lyrics
SILEGEI NASONGA MBELE
{Silegei mimi silegei (silegei)
Nakaza mwendo nasonga mbele } * 2
{Japo kuwa utu wangu wa nje unachakaa
Bali utu wangu wa ndani, unafanywa upya siku kwa siku } * 2
- Maana dhiki ya-ngu nyepesi na ya muda kitambo tu,
Yanifanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana
- Tusiviangalie angalie vinavyooneka-na
Kwani hivyo ni vya muda tu bali visyoonekana ni vya milele
- Wala sijafika, ila nakazana kwa nguvu zangu zo-te
Nikiyasahau yaliyopi-ta na kuyatafuta yaliyo mbele
- Niifikie hi-yo thawabu ya mwi-to mkuu
Mwito wa Mungu katika Kristu Yesu Mkombozi wangu