Unapaswa Kuabudiwa

Unapaswa Kuabudiwa
Alt TitleNi wewe Mungu Wetu Sote
Performed bySt. Yuda Thadei Chuo cha Uhasibu Arusha
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerEmmanuel Mpesa
Views5,647

Unapaswa Kuabudiwa Lyrics

  1. Ni wewe Mungu wetu so-te
    Uliyeumba mwanadamu ni wewe
    Hakuna zaidi yako ni wewe
    Uliyeumba mbingu na nchi ni wewe

  2. Mungu wa mababu zetu ni wewe
    Mungu wa mabibi zetu ni wewe
    Ndiwe kimbilio letu ni wewe
    Ndiwe tegemeo letu ni wewe
  3. Hakuna Mungu mwingine ni wewe
    Upaswaye kuabudiwa ni wewe
    Ndiwe kimbilio letu ni wewe
    Ndiwe tegemeo letu ni wewe
  4. Umeumba vitu vyote ni wewe
    Upaswaye kuabudiwa ni wewe
  5. Umeumba na wanyama ni wewe
    Upaswaye kuabudiwa ni wewe
  6. Mungu wa miungu yote ni wewe
    Upaswaye kuabudiwa ni wewe