Acheni Ninyi Acheni Kabisa

Acheni Ninyi Acheni Kabisa
ChoirSt. Veronicah Kariakoo
AlbumWalinizunguka Kama Nyuki
CategoryTafakari
ComposerF. Mtegeta

Acheni Ninyi Acheni Kabisa Lyrics

ACHENI NINYI


Acheni ninyi, acheni kabisa, acheni kuwapendelea waovu
Wateteeni wanyonge na yatima, wapeni haki masikini na fukara
Waokoeni wanyonge na maskini katika makucha ya wadhalimu1. Acheni kutoa hukumu, hukumu isiyo ya haki kwa wanyonge
{Kwa kuwa (kwa kuwa) wanyonge na maskini ni wa Mungu
Msiwakandamize wanyonge kwa kuwatetea waovu } * 2

2. Lakini ninyi hamjui, aliyewapa mamlaka ni nani
Ni yeye (ni yeye) anaye uchukia uovu
Anayeuchukia uovu na kuwapenda maskini

3. Maisha ya dunia ni mafupi sana ndugu kumbukeni
Na ninyi (na ninyi) mtakufa kama wakuu wengine
Kama walivyokufa na kuyaacha madaraka na mali

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442