Kaa Pamoja Nasi Bwana
| Kaa Pamoja Nasi Bwana |
|---|
| Alt Title | Wanafunzi Wawili Wa Yesu |
| Performed by | - |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 5,553 |
Kaa Pamoja Nasi Bwana Lyrics
- Wanafunzi wawili wa Ye-su (wa Yesu)
walipokaribia Ema-u (Emau)
Yesu alifanya kama ana-taka kuende-lea mbele
Wakamshawishi wakamshawishi wakisema
- Kaa pamoja nasi Bwana, Kaa pamoja nasi Bwana
Kaa pamoja nasi Bwana, kwa kuwa kumekutwa na mchana umekwisha
- Akaingia ndani, akaingia ndani
Na kukaa nao, na kukaa nao
Akaingia ndani, akaingia ndani
Na kukaa nao, na kukaa nao
- Nasi twende na Yesu aliyefufuka
Maishani mwote tuishi naye Yesu (wakristu)
Nasi twende na Yesu aliyefufuka
Maishani mwote tuishi naye Yesu Mwo-ko-zi