Nendeni Na Amani

Nendeni Na Amani
Performed bySauti Tamu Melodies
AlbumSeason 4
CategoryRecession
VideoWatch on YouTube
Views8,532

Nendeni Na Amani Lyrics

  1. { Nendeni na amani, nendeni na amani
    Nendeni na amani, nendeni na amani } *2
    Mkayatangaze mliyosikia katika masomo na Injili *2

  2. Tumsifu Bwana Mungu, kwani yeye ni mwema
    Tumwombe siku zote
  3. Mwimbieni kwa shangwe, mwimbieni zaburi
    Kwa ngoma na vinanda
  4. Tagaza sifa zake, tangaza nguvu zake
    Tangazeni amani
  5. Tangazeni ukuu wa jina lake Bwana
    Msifuni milele